Nauza pikipiki Yamaha 300k

Nauza pikipiki Yamaha 300k

Sina uzoefu kwenye hilo ila ukishainunua nakushauri uipeleke kkoo pale hukosi spea, niliambiwa haizidi laki 1.
Nauhakika bei utakayouzia hiyo bike itakuwa ndogo zaidi ya bei ya kabureta.
Kwa haraka tu hicho kifaa hakipungui sh250k. Labda umpate fundi afanye bodification lau apachike ya bei chee.
 
Kwangu picha haifunguki wakuu hiyo Yamaha ndio zile zinazolia ndleee nde nde nde ndeeee na moshi kibao au
Hiyo unayozungumzia ni yamaha DT inatumia mfumo wa 2T ndo maana hutoa moshi.
 
Back
Top Bottom