Daah unauza pikipiki milioni nne?Ni Honda xelvis tv250,nilipewa na boss baada ya mkataba kuishaView attachment 945005View attachment 945006View attachment 945007
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unaonyesha u mshamba balaa, kaa chini ufundishwe na kaka zako bundi wewe[emoji28]we **** unasemaje
jf wote tuna maisha mazuri broo, usitutishe kwamba huna shida! shida unayo ndo maana ukauza au maana ya shida ni kuuza baada ya kukosa pesa?Usihisi nauza kwa kuwa nna njaa, siye kwetu hatuna shida, nauza kwa kuwa mi si mpenzi wa pikipiki Kubwa na sipendi, mkuu sisi nyumbani shida hakujui kabisaaaaa
**** tu ww[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unaonyesha u mshamba balaa, kaa chini ufundishwe na kaka zako bundi wewe[emoji28]
Ila dole tamu jamani,mi napenda kutiwa vidole Ila Na Mdemu tu
Aisee,Hii post nimeielewa.
Umesamehewa bure kabisaTueshimiane bwana
Wallah Dudu baya akuachi kwenye list ya Tatu. Ambayo itasomewa Mwanza.Mkuu mimi nina shida na piki piki ila sina hela mkuu . Nipo serious naomba unisaidie nakuja PM
Ndo uajiriwe?Nafanya kazi ili nisikae home nikanenepeana mkuuu