Nauza paka na watoto wake!

Nauza paka na watoto wake!

Kwanini uuze wote kama wana mafunzo....uliwafundisha wanini kama hutaki kuishi nao bro
Nauza jike na vitoto vyake vinne,mi nabaki na dume,garama za matunzo zimenishinda
 
Siku hizi Paka na Panya hawana uadui tena, ni marafiki. Labda kama unauza wa maonyesho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom