Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,074
- 1,564
- Thread starter
- #21
Unaweza ukaichukuwa Baba mkubwaBabe tujichange tununue tukaishi hapo.
Unaweza ukaichukuwa Baba mkubwaBabe tujichange tununue tukaishi hapo.
Babe nipo serious njoo inboxBabe tujichange tununue tukaishi hapo.
Hata Masaki wapo wasichana wa kujiuza vipi na kule ni uswahilini.?Huko kiburugwa ni uswahilini? Kwasababu kuna wasichana fulani wapo watatu wanafanya biashara ya kujiuza waliniambia wanaishi huko
Utanipa mrejeshoBabe nipo serious njoo inbox
Hao ninaokuambia ni wa buku 5Hata Masaki wapo wasichana wa kujiuza vipi na kule ni uswahilini.?
Mkuu wanawake wa kujiuza wapo ulimwenguni kote.
Kule sio uswahilini boss.
Nipe mteja mkuuAll the Best
Wakuu mmegoma kuwekeza?
HeheheheheheheheheheheheheheheheNipigie simu nikupeleke saiti
Mkuu wee mnafki Sana ujue😂Hehehehehehehehehehehehehehehehe
Kwa niniMkuu wee mnafki Sana ujue😂
Umecheka kinafki kabisa Mzee wangu.Kwa nini
Watu si kwamba wamegoma ila hawana helaUmecheka kinafki kabisa Mzee wangu.
Unaona raha nyumba kutokuuzika.
Wenye nyumba wana shida Na Hela kinoma kiufupi wamekwama kipesa.
Wanunuaji wapo ni vile Muda sahihi wa kununuliwa bado haujafikaWatu si kwamba wamegoma ila hawana hela
Au huenda bado hawajapata taarifaWanunuaji wapo ni vile Muda sahihi wa kununuliwa bado haujafika
Bila shakaAu huenda bado hawajapata taarifa
Aya endelea na kazi ya kupiga mnada!!!Bila shaka