Nauza nyumba jamani ipo kwenye Good condition | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauza nyumba jamani ipo kwenye Good condition

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Sep 26, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Na haya Mwenye kutaka nyumba nauza TSHs Millioni 100 kila moja Kwa mwenye kutaka nyumba hizo anione mimi......


  [​IMG]


  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,867
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Bei uliyotoa si tatizo, ila funguka sema, hizi nyumba ziko wapi? Dar, Kigoma, Tandahimba au Kiborloni?? Je hazina migogoro ya urithi, maana yaonekana kama zilijengwa na babu yako!!! Je hazina mitego mitego (mazindiko, majini, maruhani, vibwengo etc)??? Kwa ujumla tangazo lako ni very interesting, nataka nizinunue zote mbili!!! Hata hivyo naomba ufafanuzi, je hapo wauza nyumba au viwanja???
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Ndani ya hizo nyumba kuna vitu hivi vya kizamani......................
   

  Attached Files:

 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Mkuu mamamdogo ninauza nyumba sio kiwanja.....................
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,867
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Rejea maboresho ya bandiko langu, halafu unifafanulie, nyumba hiyo haina matatizo na mitegomitego??? I am a serious buyer!!!
   
 6. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Mie ntanunua hiyo ya chini ila itabidi tuelewane bei, na kilichonivutia zaidi ni huo mtungi
   
 7. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Nahivi pia vipo ndani ya hiyo nyumba ninaviuza
   

  Attached Files:

 8. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Achana na hizo nyumba ni za Urithi mpaka matatizo ya urithi yamalizike kama kweli upo serious mimi ninacho kiwanja changu ninakiuza kipo Maeneno ya Vijibweni kama upo Serious unakitaka niambie nitakuuzia Bei ni maelewano unasemaje? mamamdogo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #9
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,867
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Vijibweni??? Hiyo Vijibweni mbona ina sound kama Mabwepande, naogopa!!! Ndiyo wapi huko (wilaya ya Temeke, Ilala au Kinondoni)?? Nifafanulie tuingie biashara
   
 10. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Mkuu mamamdogo Vijibweni ni kule kwa Mzee Jumbe aliye kuwa Rais wa Zanzibar anapoishi huko kuvuka kigamboni wilaya ya Temeke. Usiogope Mamamdogo.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #11
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hiyo nyumba au matatizo? Laiti zingekuwa zipo na hazina matatizo!
   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Msalimie kisukari.
  Ndo wasaka mahari weye?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #13
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Acha kumuonea wivu kisukari bibie King'asti au na wewe pia wataka muwe wawili wake zangu?uke wenza utauweza lakini?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #14
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,679
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  Mizaa inauZi kweli mahali serious na topic serious


   
 15. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #15
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,135
  Likes Received: 6,630
  Trophy Points: 280
  MziziMkavu asante,
  ila mimi sina vijisenti.
   
 16. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #16
  Sep 26, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mzizi mkavu unafilisika pole pole sasa unauza mali za urithi na kwa mazingira ninayoyaona na paka mnafuga unamtafutia mnunuzi kulogwa bure.
   
 17. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #17
  Sep 26, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hiyo sufuria itanifanya niinunue hiyo nyumba maana mpunga ni balaa ndege mwenyewe anauhusudu.
   
 18. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #18
  Sep 26, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,771
  Likes Received: 2,507
  Trophy Points: 280
  paka! atakuwa ndio zindiko la nyumba nn?
   
 19. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #19
  Sep 26, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  sio vizuri kuuza makumbusho ya kale...! Huu ni urithi wa vizazi vijavyo!
   
 20. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #20
  Sep 26, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Duh hiyo ya pili naona ina fremu kabisa
   
Loading...