grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,442
- 5,807
Kiwanja uswahilini milioni 100! DuuuhhNa haya Mwenye kutaka nyumba nauza TSHs Millioni 100 kila moja Kwa mwenye kutaka nyumba hizo anione mimi......
Kiwanja uswahilini milioni 100! DuuuhhNa haya Mwenye kutaka nyumba nauza TSHs Millioni 100 kila moja Kwa mwenye kutaka nyumba hizo anione mimi......
Si unajua Kariakoo Uswahilini eeh? Bei yake je? Kubwa kuliko masaki.Kiwanja uswahilini milioni 100! Duuuhh
Hapo ni kariakoo?Si unajua Kariakoo Uswahilini eeh? Bei yake je? Kubwa kuliko masaki.
Mkuu MzizimkavuNje ya Kariakoo kama vile Manzese.mkuu grafani11 umepapenda? huwezi kupata nyumba Kariakoo kwa shilingi Million 100 mkuu hiyo ni Bei Rahisi tu kwa Kariakoo.