Nauza nyumba jamani bei ya chini kabisa

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
211
Hii nyumba niiuza Tsh.42,000,000 ipo mbagara,chamanzi ni kabla ya kufika uwanja wa Azam Fc. nyumba iko sehemu nzuri ni hatua chache kutoka barabara kuu iendayo mbande au rufiji. nauri ni sh 800 kutoka kariakoo au posta mpya. nyumba ina vyumba 4 vya kulala na vitatu vipo auni . ina umeme maji yapo jirani. ndani kuna wapangaji tayari kwa anayetaka kuiona nipigie 0657 145555, ili niwasiliane na wa2 waliopanga ili wawepo na tupate nafasi ya kuiona ndani. asante

house.JPG
 
View attachment 57531

Asante mkuu ila kuna nyumba tena ilishatolewa hapa inauzwa CHAMAZI. Napenda kujua kuwa hivi huko chamazi nyumba ni za high density tu au ni nini? Maana ninapoingalia hii nyumba haina tofauti na vile viwanja vya Sinza vya sq metre 300. Hewa utapata wapi?
 
Asante mkuu ila kuna nyumba tena ilishatolewa hapa inauzwa CHAMAZI. Napenda kujua kuwa hivi huko chamazi nyumba ni za high density tu au ni nini? Maana ninapoingalia hii nyumba haina tofauti na vile viwanja vya
Sinza vya sq metre 300. Hewa utapata wapi?
Ni kweli hilo ni tatizo viwanja ni vidogo halafu wate walionjenga wamejaza nyumba kwenye uwanja wote, lakini kwa hii ni tofauti kidogo upade wa mbele kuna barabara na pembeni pia kuna barabara. Asante
 
ingependeza zaidi kama picha ungepiga kwa ndani pia
ni kweli dada, lakini kama nilivyosema kuna watu wamepanga naona si busara kusara kupiga picha za ndani , kuna watu hapa badala ya kuangalia nyumba ataanza kujadili kitanda cha mpangaji. lakini siku unapokwenda kuiona huwa unandaliwa utaratibu ili oune na ndani.
 
Back
Top Bottom