pamoja na walaji wake woote ni Kharam pia,Pamoja na MAZAO yake yote.
Kharam pia.
Naunga mkono Hoja.
Mbwa pia ni kharam ila hachukiwi hivi. Kwanini?Pamoja na MAZAO yake yote.
Kharam pia.
Naunga mkono Hoja.
Kutoka Moshi itakuwa kwenye barafu imechinjwa lini?Nauza fresh meat(nguruwe) kilo shilingi elfu 7,ukihitaji kwanzia kilo kumi kuendelea unaletewa ulipo,
Nyama ni nzur sana,nguruwe kutoka moshi
Wote mnakaribishwa kuweka order zenu
+255752563313
Nani kasema pork aramu??pork ni haramu
Kwa hiyo atauza kwa siri mkuu? Make kama mwala kwa siri hata kuuza itabidi auze kwa siri mkuu!No mkuuu huku zenji mbona twala sanaa...japo kwa siri sana ila tunavila sanaaa
Kulia na Kucheka yote ni makelele lakini kila moja na Sifa zake.Mbwa pia ni kharam ila hachukiwi hivi. Kwanini?
Uko wap mkuu?
Nauza fresh meat(nguruwe) kilo shilingi elfu 7,ukihitaji kwanzia kilo kumi kuendelea unaletewa ulipo,
Nyama ni nzur sana,nguruwe kutoka moshi
Wote mnakaribishwa kuweka order zenu
+255752563313
Nitakua nakuletea mkuu..fanya kilo tanoMimi Niko survey Mwenge nanunua kilo nne kila jumapili pale Lugalo jeshini kuna bucher pale . Naona bei yako ni nzuri pale kilo moja shs 9,000/-