Nitakua nakuletea mkuu..fanya kilo tano
Pale ni rahisi kuchagua kwa vile wauzaji wako kama wanne tofauti . Napenda sehemu ya mbavu NA slalala ikichanganywa na ngozi yake ikiwa haina mafuta . Kilo zaidi ya nne itakuwa inabaki Mkuu . Nakula kwa kipimo .