Nauza nyama ya nguruwe(dar)

Aisee wewe jamaa umeliamsha dude. Ngoja niende nikatafute kitimoto cha kukaanga nijiboost.
 
Nauza fresh meat(nguruwe) kilo shilingi elfu 7,ukihitaji kwanzia kilo kumi kuendelea unaletewa ulipo,
Nyama ni nzur sana,nguruwe kutoka moshi

Wote mnakaribishwa kuweka order zenu

+255752563313
Kutoka Moshi itakuwa kwenye barafu imechinjwa lini?
 
Nauza fresh meat(nguruwe) kilo shilingi elfu 7,ukihitaji kwanzia kilo kumi kuendelea unaletewa ulipo,
Nyama ni nzur sana,nguruwe kutoka moshi

Wote mnakaribishwa kuweka order zenu

+255752563313

Mimi Niko survey Mwenge nanunua kilo nne kila jumapili pale Lugalo jeshini kuna bucher pale . Naona bei yako ni nzuri pale kilo moja shs 9,000/-
 
Mimi Niko survey Mwenge nanunua kilo nne kila jumapili pale Lugalo jeshini kuna bucher pale . Naona bei yako ni nzuri pale kilo moja shs 9,000/-
Nitakua nakuletea mkuu..fanya kilo tano
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom