Nauza nguruwe watoto na wakubwa kwa wanaohitaji wa kufuga

Wacha Roho mbaya,
Mmeambiwa mle Nguruwe mkiwa na njaa.
Au unafiriki wengine hawana dhalula.

{ " 2: 173 - Yeye amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya nguruwe na kilicho tajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiye kuwa Mwenyezi Mungu. Lakini aliye fikiwa na dharura bila ya kutamani wala kupita kiasi, yeye hana dhambi.
Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe,
Mwenye kurehemu" }

Ufuska na ushirikina ndio zenu lkn kitimoto ndio mnaona haramu! washenzi ninyi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom