Kama ipo ipo tu so wpo wanao ni pm wana hitaji we uliyeshiba nice of you mind your biz achia thread wanao hitaji wata sema sio lazma
By notifeki

Mbona hizo kama za kwangu. Acha njaa dogo. Watu tumedownload ww unakopi unauza?

dogo analeta njaa, kama kuna mtu anazihitaji mimi zote hizo ninazo, anicheck nimpe, nipo dar

kwa alie dar anitafute...mimi ntampatia bure
Kama ipo ipo tu so wpo wanao ni pm wana hitaji we uliyeshiba nice of you mind your biz achia thread wanao hitaji wata sema sio lazma
hizo quality, zake ni kama zile zinazowekwa 100 kwenye cd moja!
Mkuu mimi naweza kukupa zingine 720p, 1080 blueray na 3d bure kabisa ili ukuze biashara yako nipo dar, mpaka sasa nina kama TL 3 za movie na Series ndio usiseme, zinazoendelea na zilizokamilika.....mimi nakupa bure kabisa.Nipo Arusha kwa wale watakao hitaji bei maelewano tu. Zipo movie zakutosha naza 2013 pia nipo mbioni kuwa nazo soon. Ni pm kama utahitaji. Thankx mch
Umenena mkuu mi niko nje ya dar kwa sasa soon nikiludi nitakutafuta kiongozi ubarikiwe sana vijana wana njaaa sana lol
Thnkx for ur courage ila ukiona unafanya kitu bila challenge yoyote juwa kuna tatizo so ntapambana nazo tu pamoja sana bro :thumbup:🙂😱dogo utapata tu watu, achana na hao wabanaji,

wengine hatuna muda wa kusubiria kudownload mpaka movie imalize kujaa,

muhimu weka bei , watu walete external hd zao uwajazie,

By mceddy

Kama ipo ipo tu so wpo wanao ni pm wana hitaji we uliyeshiba nice of you mind your biz achia thread wanao hitaji wata sema sio lazma
sio vizuri kuharibu biz za watu,
Iyo biashara hailipi dogo,movie huwa tunatoa bure!!
mimi sijaharibu biashara ya mtu. nimejitolea bure movies kwa wakazi wa dar
mimi sijaharibu biashara ya mtu. nimejitolea bure movies kwa wakazi wa dar