Weka wasifa wake mkuu!portable,anajua kukata kiuno,mweupe mweusi mnene mwembamba msafi etc
Mimi nataka niwanunuwe nyote wawili unasemajeNimekaa na kutafakari sana na nimefikia uamuzi wa kumuuza mke wangu. Kubadilishana ni moja ya option ingawa kwa sasa nataka kuwa single
Nimechoka mwenzenu. Kuliko kufikia hatua ya Ditopile nimefikia uamuzi huu. I can go down hata kwa chips mayai nitashukuru.
Mnunuzi lazima asaini na kukubaliana na kipengele kuwa Goods once bought are not returnable
Nakaribisha ofa
tunarudishana utumwani!! utamuuzaze mwenzio kama dagaa!!??USHINDWE!!
Nimekaa na kutafakari sana na nimefikia uamuzi wa kumuuza mke wangu. Kubadilishana ni moja ya option ingawa kwa sasa nataka kuwa single