Nauza mchele mzuri tani 3.5 Ifakara,Kilombero.

Nauza mchele mzuri tani 3.5 Ifakara,Kilombero.

KENY THOMAS

Member
Joined
Sep 14, 2017
Posts
61
Reaction score
76
Habari Wakuu,nina mchele mzuri tani 3.5 ninauza kwa bei ya 2200 kwa kilo moja.

Mawasiliano:0685096617_0718672642

IMG_5893.jpg

IMG_5891.jpg

IMG_5890.jpg
 
Mchele dar es salaam rejareja bei inaanzia 2000 piga mahesabu vizuri ndugu.
Maana kwa bei ya 2200 kuongeza na usafiri ,upakiaji na gharama nyingine sijui. Mnunuzi ataenda kuuza bei gani.
Au pengine kuna mikoa mingine ambayo bei iko juu zaidi unaweza kufanya research.
 
Dah! Umechemka mkuu,pindi Juaa lilipowakaa mwezi march ilipaa mpaka 2100 ilikuaa Mali mnoo,saivii imedroupu tena Soko limetingishika maana Kuna mapya na mvuuaaa. Uzaa kwa 1700 au lazaa mpaka January utapiga pesaa.
 
Mkuu jitahidi upunguze bei upate wateja maana bei ya mtaani ni 2000 super hadi 1700
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom