Nauza matikiti yapo tayari! Mwasonga kigamboni

Yapaswe

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2016
Posts
322
Reaction score
240
Salaam Ndg,Jamaa,na Marafiki,Natangaza biashara ya matikiti maji yapo tayari shamba lipo !mwasonga,Wilaya ya kigamboni,hakuna tabu ya usafiri gari linaingia mpaka shamba ni karibu na barabara kabisa ile ya kwenda kiwanda cha cement,

Ukubwa wa eneo nusu eka,kuna matikiti makubwa 152 yenye kuweza kuuzwa bei 7000 na Mdogo 320 yenye uwezo wa kuuzw 5000 mpaka 4000,karibuni,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapo mwasango nahitaji kununua shamba huwezi kunipatia Namba ya mwenyeji uko tuzungumze au pia kama Ni mwenyeji tunaweza kuzungumza!!?
 
Salaam Ndg,Jamaa,na Marafiki,Natangaza biashara ya matikiti maji yapo tayari shamba lipo !mwasonga,Wilaya ya kigamboni,hakuna tabu ya usafiri gari linaingia mpaka shamba ni karibu na barabara kabisa ile ya kwenda kiwanda cha cement,

Ukubwa wa eneo nusu eka,kuna matikiti makubwa 152 yenye kuweza kuuzwa bei 7000 na Mdogo 320 yenye uwezo wa kuuzw 5000 mpaka 4000,karibuni,

Sent using Jamii Forums mobile app

mh hio bei mkuu
 
Back
Top Bottom