Plot4Sale Viwanja vinauzwa Chekeni Mwasonga Kigamboni

Ochumeraa

JF-Expert Member
May 18, 2015
4,504
5,707
Property Investors Company inauza Viwanja Kigamboni eneo la Chekeni Mwasonga vyenye sifa:
Viwanja vipo karibu na kiwanda cha cement.
Vipo km3 toka Barabara ya Kimbiji.
Bei yetu ni flat,kwa kiwanja cha ukubwa wowote ule.
Unaweza kulipa cash au kwa Installment. Site tunaenda kila siku na hakuna gharama. Viwanja vimeshapimwa tayari na tutakufanyia process zote za kupata hati.
Tuna miradi mingine ya Viwanja maeneo ya Mbutu Kigamboni, Cheka Kigamboni,Kisota, Pangani Kibaha,Vikawe Kimele Baobab, Misugusugu Kibaha, Vigwaza... Dodoma tuna Viwanja maeneo ya Mtumba, Kitelela, Mahoma Makulu, Chamwino Ikulu, Nala Ringroad, Nala Chihoni,Chahwa.
Ofisi zetu zipo nyuma ya Ubungo plaza na kwa Dodoma tupo capital city mall.
Call/SMS/WhatsApp: 0686601716

IMG_20221117_074727.jpg
IMG_20221117_074809.jpg
 
ila nyati cement si chekeni mwasonga maana kuanzia kijaka mpaka kilipo kiwanda cha nyati cement kule ni kimbiji ndugu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom