Million 5 maongezi yapo mkuu
Bila shaka ukinunua atakupa hii siri. Maana kinyume na hapo, shughuli itakuwa pevu.Material unapata wapi
Bado ipo?Nauza mashine ya kutengeneza sabuni za miche iko complete na mixer ya lita 100 inafaaa kwa uwekezaji WA kiwanda kidogo.
View attachment 3027614