Nauza Mark 2 Grande GX 110

Nauza Mark 2 Grande GX 110

Jombaa RRONDO hujambo.
Aisee umeona dashboard ya hiyo gari hapo kwa dereva. Navojua handbrake inakuaga pembeni hapo ya gearbox. Mbona siioni?
Halafu hii ni gari ya pili sioni handbrake.

Ni kwamba kuna gari zingine hazina handbrake ama handbrake zake ziko sehemu nyingine tofauti na hapo kati kati ya siti za mbele?
Mkuu hand brake ya gari hizo inakaa chini pembeni ya brake pedal
 
Hivi wanaposema inakula Sana mafuta huwa wanamaanisha Nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani inaweka mafuta kwenye tanki afu inaanza kuyatafuna na kuyameza ili gari litembee. Uzuri wake inakula lakini hainyi bali inajamba moshi...mpaka mwisho wa safari... Hii faida yake kubwa ni kwamba unapunguza gharama ya matumizi ya choo.
 
Nahitaji Vits old model mwaka 2003+ kama kuna mtu anauza anicheki
 
Back
Top Bottom