Nauza Mark 2 Grande GX 110

Ile IST yako ulikuwa umei-pomp ndani ya rangi ya gold ulininyima,hii chukua 4.5m

Sent using Iphone X
 
Jombaa RRONDO hujambo.
Aisee umeona dashboard ya hiyo gari hapo kwa dereva. Navojua handbrake inakuaga pembeni hapo ya gearbox. Mbona siioni?
Halafu hii ni gari ya pili sioni handbrake.

Ni kwamba kuna gari zingine hazina handbrake ama handbrake zake ziko sehemu nyingine tofauti na hapo kati kati ya siti za mbele?
Hand brake za gari za Mark II na jamii hiyo zinakaa chini karibu na brake
 
Back
Top Bottom