Alvin A.
JF-Expert Member
- Oct 14, 2016
- 2,865
- 3,639
Mark II grande gx110 ni kukanyaga hazina buttonsSio lazima. Ya Mark 2 series kuna button unavuta. Ya VW Touareg kuna button unavuta
Anyway kwa uelewa wangu mdogo
Mark II grande gx110 ni kukanyaga hazina buttonsSio lazima. Ya Mark 2 series kuna button unavuta. Ya VW Touareg kuna button unavuta
Unachotakiwa kuelewa zipo aina tofauti. Za kukanyaga ili iachie na zinazotumia release button. Sio zote zinafanana.Mark II grande ni kukanyaga hazina buttons
Anyway kwa uelewa wangu mdogo
Hiyo Parking ipo ghorofani? Maana ukuta una kozi 6 lakini umefunika nyumba ya mbele inaonekana bati tu.
Mark II grande ni kukanyaga hazina buttons
Anyway kwa uelewa wangu mdogo
Hata Mimi ya kwangu nakanyaga mpaka alama ya (P) ipotee kwenye dashboard ndio handbrake nayo inakuwa imetoka, usipojua hili au mgeni utapata shida sanaMark II grande ni kukanyaga hazina buttons
Anyway kwa uelewa wangu mdogo
Kuna watu na fani zao, watakubishia hadi unaamua kuwapa ushindi wa mezaniHata Mimi ya kwangu nakanyaga mpaka alama ya (P) ipotee kwenye dashboard ndio handbrake nayo inakuwa imetoka, usipojua hili au mgeni utapata shida sana


Nasikia watu wanasema eti GX100 ZINAKULA MAFUTA SANA, HILO LINA UKWELI AU STORY?