anzisha uzi wako!mimi ninayo nauza 5m
Mimi hii ndiyo ninayoijua. Uko sahihi 100%Footbrake unakanyaga kuengage na kutoa unakanyaga zaidi
hapa hapa tutabananaanzisha uzi wako!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] uzi ufungwe maana ushalinunua, au na ww unarefusha uzi[emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322]Watu wasio na pesa bana, kazi kurefusha nyuzi tu. Si mnunue uzi ufungwe tuendelee na mambo mengine.
Hahaa [emoji23]Watu wasio na pesa bana, kazi kurefusha nyuzi tu. Si mnunue uzi ufungwe tuendelee na mambo mengine.
Hali ngumu Kweli, tangu November mpaka Leo Haijatoka? Ukifika 3.5m nistue Mkuu
Aisee! m 3.5, tena namba d hiyo gari, huwezi pataHali ngumu Kweli, tangu November mpaka Leo Haijatoka? Ukifika 3.5m nistue Mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora umenisaidia kumjibuAisee! m 3.5, tena namba d hiyo gari, huwezi pata
Ni kweli kabisa gari lolote chakula chake ndio mafuta ili liweze kutembea kulingana na ukubwa wa injini ya gari