Nauza magari used na chassis

m-yala

Member
May 13, 2014
59
57
Habari,

Je unahitaji agent wa kukutolea gari, container au loose cargo Bandarini? Karibu wasap me +255764423726

Pia Kwa uhitaji wako wa used cars zilizo ktk Hali nzur na chassis no pia karibu. Nina chaguzi nyingi za gari tofauti tofauti
 
Dunia ya sasa tangazo bila picha/video clip sw n takataka tu.
 
Hujapata hata picha ya kuzugia?
Sasa wewe ni picha ya dalali, ukiwa dalali ksmili urudi hapa
 
Back
Top Bottom