Nauza korosho kutoka Mtwara

Nauza kwa jumla na ningependa mtu achukue zote, nzima nauza 13000 kwa kilo vibande tutaelewana. Bei zangu negotiable.
Ni korosho ambazo zimebanguliwa lakini hazijakaangwa
 
Supermarket kg1 inauzwa 10,000..., nilitegemea ww ungeuza bei ya chini zaidi
 
Hiyo Elfu 10,000 ni kweli ila ni korosho nusu kilo zilizokaangwa, mimi nauza maximum 13000 kwa kilo(Inapungua mpaka kutokana na mzigo unaochukua).
 
Kwanini uuze raw,badala ya uziroast afu uuze unapata faida zaidi?
 
Hapana, kila mtu na kazi yake na mgawanyo wake wa riziki, mimi kazi yangu ni kubangua na wengine kazi yao ni kurost kuweka kwenye ladha mbali mbalj n.k

Ukitaka vyote utakosa vyote
 
Back
Top Bottom