masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,862
- 15,056
Weka bei mkuu!
ILI UPATE MNUNUZI NUNUA HELKOPTA UUUZE KWA PAMOJA!!:music:
Ha ha ha!andaa na life jackets kaka! itasaidia kwa sisi wenye watoto wadogo!
Kiwanja hakina shida sana. Kiko babarani na ukiwa na feri lako hata vibaka wanakuona kwa darubini tu.Wewe ni wa ajabu kweli kweli. Ameisha kwambia hicho kiwanja kina matatizo ya maji kama jirani yake anaingia nyumbani kwake kwa boti na wewe sasa unaulizia bei ununue hicho kiwanja ili uwe unaingia kwa meli au?
Tiba
Kiwanja au bonde la mpunga...