Nauza karanga nina gunia 43

Nauza karanga nina gunia 43

Jamani natafuta soko la kuuza karanga
Msaada wanaojua bei nzuri ya Karanga kwa soko la sasa ni shingapi? na Msaada mwingine kunifanyia connection na Diamond Karanga nimuuzie hizi guniaa
Kupata msaada mkuu utapata shida sana,badilisha hiyo avatar yako kwanza maana inaonyesha kama unatania...
 
Kupata msaada mkuu utapata shida sana,badilisha hiyo avatar yako kwanza maana inaonyesha kama unatania...
Ni kweli sio natania labda avatar inachangia kuonekana kama nazingua lakin huo mzigo ninao na upo store

Sent from my Infinix HOT 3 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom