Nauza karanga nina gunia 43

Nauza karanga nina gunia 43

Facha Don

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2016
Posts
343
Reaction score
317
Jamani natafuta soko la kuuza karanga
Msaada wanaojua bei nzuri ya Karanga kwa soko la sasa ni shingapi? na Msaada mwingine kunifanyia connection na Diamond Karanga nimuuzie hizi guniaa
 
Uko wapi mkuu yaani mkoa na wilaya gani?

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Bei
Location
Huduma ambatano kama delivery nk

Mawasiliano

spend less, save more
 
Jamani natafuta soko la kuuza karanga
Msaada wanaojua bei nzuri ya Karanga kwa soko la sasa ni shingapi? na Msaada mwingine kunifanyia connection na Diamond Karanga nimuuzie hizi guniaa
Upo wapi, gunia unauzaje?
 
Uko wapi mkuu yaani mkoa na wilaya gani?

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Nipo Mpanda Nina Gunia 43

Sent from my Infinix HOT 3 using JamiiForums mobile app
 
Mijitu mingine hadi mnaboa, weka tangazo katika mfumo nilokwambia

spend less, save more
Sasa elimu darasa la 7 tena nimesoma kwa kutoroka toroka sielewi hiyo lugha ya Trump nisaidie tuu msaada

Sent from my Infinix HOT 3 using JamiiForums mobile app
 
Sasa elimu darasa la 7 tena nimesoma kwa kutoroka toroka sielewi hiyo lugha ya Trump nisaidie tuu msaada

Sent from my Infinix HOT 3 using JamiiForums mobile app
Umejuaje kama ni lugha ya trump?

spend less, save more
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom