NAUZA IDEAS ZA VIPINDI NA TEKNOHAMA

NAUZA IDEAS ZA VIPINDI NA TEKNOHAMA

WAKUONDOKA

Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
46
Reaction score
24
Habari waungwana!! Rejea heading hapo juu,nauza ideas mbalimbali za vipindi vya Televisheni,Radio,Blogs na Filamu.Pia naandika research proposal mbalimbali kwa wanaohitaji.
Ideas zipo tayari na nimeziandikia proposal na kwa vipindi vya Tv na Filamu nimeziandikia script kbsa ni kwa muhitaji kuelewana mi na yeye bei na gharama zingine na ye kuchukua basi.
Mnaweza kuuliza kwa nn zisininufaishe mwenyewe na kufikiria kuuza ni kwamba tunatoka familia tofauti kwa wengine wana watu wanaoweza kuwasimamia na kuwapa mitaji na pia wana wadau wengi kwa upande wangu mie nilishafanya huko nyuma ila nilikwama kwa kukosa wadau na udhamini.
Kwaio naomba kwa wenye uhitaji kama wapo wanipm tuwasiliane.
Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom