Nauza ID yangu ya "Mudawote"

Ccm wanashida kama na ww unapambana na chadema kwa pumba zile unaakis namna viongoz mlionao huko ccm ndo mana hata VAT inawatoa jasho kama sukar
 
mshana jr
Niuzie yako mi nataka nimtangaze masihi!
Badala ya kutangaza uchawi..iwe zamu ya kutangaza uzima na uponyaji utakao kwa Yesu.
 
sheria za jf haziruhusu kuuza ID... Ukijulikana hiyo ID itafungiwa na kuifungua inahitaji pesa ndefu...
 
Back
Top Bottom