Nauza HTC MYTOUCH 4G

Nauza HTC MYTOUCH 4G

Kwanza usitudanganye mitandao ya bongo haina 4g
 
Smile ni 4G lakini ni DATA tu na sio VOICE,sasa mtu atanunua smu halafu atumie kwa ajili ya DATA tu hakuna hata kupiga au kupigiwa? Si bora anunue laptop tu au desktop. Ni mawazo yangu tu.

Smile ni mtandao wa wapi?
 
Bado unayo au imeshapata mteja. 280,000tsh inalipa mkuu? Niko mkoani... K'njaro..Moshi
 
Hello Guys......nauza simu aina ya HTC MYTOUCH 4G Mpya imetumika siku 1 tu..yaani nimeletewa Juzi mpya iko kwa box yake

Ina suport social media zote including whatsapp..viber..Skype..tango..line..instagram..etc

Na iko faster sana maana inatumia 4G..ina front camera na back camera inshort iko poa with no any scratches

Bei ni 350,000

Sababu ya kuiuza nna shida na iyo pesa na Sina alternative ya kupata pesa zaidi ya kuiuza hii simu

Ahsante[/QUOT

ACHA WIZI
 
Ni nani aliekwambia hiyo simu ni HTC???? Au unauza jina na sio simu????
 
Hello Guys......nauza simu aina ya HTC MYTOUCH 4G Mpya imetumika siku 1 tu..yaani nimeletewa Juzi mpya iko kwa box yake

Ina suport social media zote including whatsapp..viber..Skype..tango..line..instagram..etc

Na iko faster sana maana inatumia 4G..ina front camera na back camera inshort iko poa with no any scratches

Bei ni 350,000

Sababu ya kuiuza nna shida na iyo pesa na Sina alternative ya kupata pesa zaidi ya kuiuza hii simu

Ahsante[/QUOT

ACHA WIZI

Sivyema kuharibu biashara za watu
 
Back
Top Bottom