Liutenant
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 620
- 1,014
Wakuu habari!
Kama kichwa hapo juu, ninauza bus aina ya Eicher (Skyline) namba CVZ. Gari ni yangu.
Sababu, nimeanza kufanya shughuli nyingi mikoani na imekuwa changamoto kusimamia. Gari ipo katika hali nzuri generally ila nimeipaki kwa muda (tangu tarehe 20 November 2016) kutokana na matukio ya kugongesha gari mara kwa mara yanayofanywa na madereva. Yaani akikusanya mapato ya wiki, kabla hajanitumia anasema gari imepata ajali then anatumia ile hela kutengeneza.
Ina bima kubwa, imelipiwa vibali vyote isipokuwa TRA kwa ajili ya Juni hadi December 2016.
Kwa sasa bus lina ruti ya Makumbusho - Mbagala.
Bei ni Maelewano (marekebisho kadhaa ya 2m ni juu yangu)
Kwa anayependa kununua njoo inbox kwa mawasiliano Zaidi.
Asanteni.