Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 44,073
- 104,474
Hata ukizoom hakionekani mana nna kibamia 😎Em funika hiko kidudu chako profile 🤣
Hata ukizoom hakionekani mana nna kibamia 😎Em funika hiko kidudu chako profile 🤣
Good products..... office zi wapi?AI glass camera
✅Ina Camera ya 8mp na flash kwa ajili ya kupiga picha na kurecord video
✅Ina AI voice assistant kwa ajili ya image recognition na chatgpt
✅Inatumia app unaweza unganisha na simu
✅Ina earphone unaweza kuplay music kupokea simu
✅Unawez ubadilisha glass aina 3 tofauti
✅unganisha na simu piga picha kupitia miwan ikupe maeleezo kutoka Ai
✅play music na kusikiliza kupitia miwani
✅pokea simu kupitia miwani hii
Bei 150,000 tu
Jumla anzia pc 5 njoo tuongee
Yah, lakini hili suala la miwani yenye camera lingekuwa popular wanawake waathirika wangemkimbia M Russia mapema 😁😁
Kupunguza fedheha zinazoweza kusababishwa na teknolojia ni kutumia akili ya kawaida tu
The excuse ya wadada wanawekaga mambo ya Maza wakifukiri YEYE sio mwanamke ukitaka kujua mama WAKO hana tofauti watulize wale AMBAO si watoto wake 😀Ndio.
Na mama ako na ww pia mana wote Nyie n wanawake.
Yn ukiwa na mama ako n sawa na kusema malaya wawili wamekutana
Ngoja siku ujikute X (twitter) kwenye account za pilau ujione unavyoride ndo utajua akili mnemba ni uongo.Siku hizi akili ya kawaida nayo imeshindwa kazi inasaidiwa na akili mnemba
Mbona nimeogopaa hiyo miwani.Miwani jamani
Wewe tenaMbona nimeogopaa hiyo miwani.
matrafiki wetu huko barabarani itakuwa wawe makini teknolojia isije ikawaumbua.Zinafaa sana kwa ajili ya kuwadakisha traffic huko barabarani.😁
Karibu mkuu nimekuoa namba pmNitakutafuta
😂😂😂😂Wewe tena