- Thread starter
- #21
YesHaina kipengele
YesHaina kipengele
Ina km 200,000 mkuu.
ThanksChuma Hicho Na Sasa Kinatema Che Che
Miye Nakwenda Zangu Msoga Nalala Usingizi Baridi
Gari Ya Kiume Unatoka Mtwara Mpaka Misenyi, Ngara
Mafuta Inanusa Kidogo Kama Ugoro Wa Kimaasai
Mpigie mwambie unataka ulipie hiyo gari then njoo uturudishie feedbackIla madalali
Hakuna gari isiyo na kasoroShida kubwa 2 za hizi gari:
- Ku-leak Oil
- kufeli Cooling system
Ni kweliHakuna gari isiyo na kasoro
Kila gari utakayopost hapa watu wanaiponda. Sasa unajiuliza ni gari gani watasema ni nzuri 100%.Ni kweli
Hahahaaaaa....kaka we acha tuKila gari utakayopost hapa watu wanaiponda. Sasa unajiuliza ni gari gani watasema ni nzuri 100%.
Jibu ni hakuna maana wanaozikosoa hata boda boda hawana.
SawaIchukulie mkopo tu bank km VP afu itelekeze mkuu!