Ritual
Senior Member
- Jun 13, 2025
- 163
- 187
Watu hawana hela mtu mwenye hela haongei mara mbiliKila gari utakayopost hapa watu wanaiponda. Sasa unajiuliza ni gari gani watasema ni nzuri 100%.
Jibu ni hakuna maana wanaozikosoa hata boda boda hawana.