Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,559
- 6,558
Hauoni🤣🤣🤣🤣🤣🤣Picha mbona hamna
Imepauka sanaa
Hauoni🤣🤣🤣🤣🤣🤣Picha mbona hamna
Hiyo ni ngumi jichanganye ishamshinda kila siku inamtoboa mpungaBenz G class hiyo imekaza balaa. Sasa sijui kwa nini unauza, Ina shida gani?
Mie sijatuma picha. Ntatuma j3Rangi yake sijaipenda!
Hakikisha na hio tairi ya mbele kushoto unaweka mpya, imeisha sana mkuu.Mie sijatuma picha. Ntatuma j3
bora ungekaa kimya tuh apa ndio umeonyesha ujinga wako woteMie sijatuma picha. Ntatuma j3
Umeonea wapi??Mbona imepauka hivyo, kwani ulikua unaoshea omo?
Pamoja na hiyo side mirror…Hakikisha na hio tairi ya mbele kushoto unaweka mpya, imeisha sana mkuu.
Nitafute kwa nambaOk! Am interested naomba picha yake
Utaipata via WhatsAppPicha mbona hamna