JOHNGERVAS
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 1,470
- 2,560
Ulizipata wapi mkuu? Kwasababu kuna malalamiko mengi Sana maeneo ya malamba bati kupotea.Wakuu nina Bat ziko Karibu 100 nauza ni gauge 28 zimepigwa msumari mara moja tu hazina Kutu zinaonekana kama mpya kabisa. bei ni elfu nne, elfu tano na elfu kumi na nae na nyingine elfu ishirini.
Zipo malamba mwisho Kituo cha Msikitini.
Ukihitaji nicheki PM hapo kwa mawasiliano zaidi
ila we Jamaa 🤣 😂, nyau de adriz umbwaaUlizipata wapi makuu? Kwasababu kuna malalamiko mengi maeneo ya malamba bati kupotea
AiseeePicha ulizotuma zinaonesha vizuri sana.
Hiyo rangi ya njano unauza bei gani?
Zinang'aa sana zitawapofusha macho members wa JF washindwe kusoma sledi kwa wema na uzuri wa kutosha.Mtoa mada aweke picha
Ziko wapi au naanza kuzeeka.Picha ulizotuma zinaonesha vizuri sana.
Hiyo rangi ya njano unauza bei gani?
Si ameweka picha.Ziko wapi au naanza kuzeeka.
tayari nimewekaWeka Picha
swa Mkuu tayari nimewekaweka Picha ili wadau waone, maana kuja malamba mawili ni shughuli
tayariMtoa mada aweke picha
tayari nimezibadilisha mkuuPicha ulizotuma zinaonesha vizuri sana.
Hiyo rangi ya njano unauza bei gani?
hahaha bati lako usipoligongelea msumari vizuri utalikuta kwa jiraniUlizipata wapi mkuu? Kwasababati lako bu kuna malalamiko mengi Sana maeneo ya malamba bati kupotea.