Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,255
Me siuzwiwewe na baiskel yako jumla sh ngapi..?
Mwenye baiskeli hauzwi... hvo vingine jumla 2.5 m mkuuPotelea mbali mi nitanunua basikeli, milango, mwenye basikeli na chura wake... vyote! sh ngapi?...
Baiskeli - 500'000/-Bei ya baiskeli kubwa please
Chura tuBaiskeli - 500'000/-
Chura 2'000'000/-
Mdogo wangu (wa kiume)Loishie anatafuta baiskeli siku nyingi. Hii itamfaa akiivumilia nami niko radhi kuitwa wifi!
0713 R7 2F LKMbona mawasiliano hakuna sasa
Hii namba ya nchi ipi?0713 R7 2F LK