JF,
Somo tajwa hapo juu lahusika.
Bei ni shilingi 200,000 kwa kila lita20 sawa na 10,000kwa kila lita moja.
Nauza kwanzia lita 20.
inategeme uko wapi ndo uiuze 4,000.Du!!
Bungeni tuliambiwa wastani kwa ltr ni 4,000/=
Bila shaka mi sio mkulima, nafanya biashara.Tasia, asali mbichi tunaipenda lakini bei yako imepita wastani wa bei ya soko kipindi hiki. Bila shaka wee ni mkulima na sio dalali; weka address zako hapa jamvini, tutakuja ku-bargain hapo hapo dukani kwako.
'Kweli mkuu biashara yako ni kwa daraja flani tu'Vipi hali ya uchumi ya wahusika wenyewe!inategeme uko wapi ndo uiuze 4,000.me siangalii hilo bunge lamaslahi yenutu msiojua wengine.naangalia nimewekeza rsilimali;fedha kiasi gani?muda kiasi gani?nguvu binafsi kiasi gani?n.k na ili nione faida inabidi niuze kiasi gani kwa lita.
kaka asali yangu ni genuine.sihitaji kuhubiri hilo mana kabla hujanunua utaiona kwnza then utasema.'Kweli mkuu biashara yako ni kwa daraja flani tu'Vipi hali ya uchumi ya wahusika wenyewe!
Hiyo bei ni nafuu sana iwapo kweli hajachanganya.
Kuna watu wanatuletea kwenye chupa ndogo ya maji ya kilimanjaro kwa elfu tano ambayo ni 250ml
nyuki wakubwa boss!Asali yako ni ya nyuki gani?
Du!!
Bungeni tuliambiwa wastani kwa ltr ni 4,000/=
mkuu Malila
jee hao nyuki wadogo wanafugwa? Nawapi wanapatikana?