INAUZWA Tunauza asali mbichi kutoka Tabora

Ibnalawi

Member
Nov 27, 2023
5
1
Tunauza asali mbichi kutoka Tabora

Asali yetu ni original kabisa haijachakachuliwa hata kidogo

Kuthibitisha hilo unaruhusiwa kutest mpaka ukijiridhishe ndipo unafanya malipo

Kwawale ambao wanashindwa kutofautisha kati ya asali mbichi na iliyopikwa tutawaelekeza

Bei zetu ni kama zifuatazo

Lita moja shs. 15,000/=
Nusu lita shs. 8,000/=
Robo lita shs. 4,000/=
Lita tano shs. 75,000/=

Tupo Kijitonyama karibu na Sekondari ya Salma Kikwete

Simu: 0714 080 784
 

Attachments

  • 20231112_165036.jpg
    20231112_165036.jpg
    244.4 KB · Views: 5
mnayo yenye masega yake? mana kuna jamaa nlimwona arusha anakuwa na center na ndoo zake na masega yake na nyki wamemtanda anakuchotea anakupimia alikuwa na wateja sana.
 
mnayo yenye masega yake? mana kuna jamaa nlimwona arusha anakuwa na center na ndoo zake na masega yake na nyki wamemtanda anakuchotea anakupimia alikuwa na wateja sana.
Hapana haina masega lakini ni pure kabisa yaa unaweza kutest kwa kiberoti au nikakuonjesha kabla ya kufanya malipo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom