Kuna kusema na kupigwa figisu ufukuzwe kazi. The latter ndo linakufanya usimwamini mtu kazini kwako; the former ni utamaduni wa wabongo hata familia zinasemana,kitaa nkHupaswi kuishi Kwa kuogopa kusemwa
Fanya vile unaona ni sahihi mkuu
Sasa ukiweka mchele peupe kuku wanadonoa woteHakuna anayeweza kukushambulia kama hawakujui. Hakikisha wanachokijua kuhusu wewe ni 1%.
Ndio maana makombora ya houthi Israel yanatua hovyohovyo maana hawajui target sahihi ya kushambulia.
Hata kama huwa wanachelewa wote na bosi. Ukichelewa wewe ambaye unakavisheni flani watakuua balaa.Sasa ukiweka mchele peupe kuku wanadonoa wote
Usiogope kusemwa/kusengenywa lakini kuwa makini na wale watakaotaka kuchezea riziki yako.Hupaswi kuishi Kwa kuogopa kusemwa
Fanya vile unaona ni sahihi mkuu
Ilitakiwa iwe na marafiki wengi zaidi kuliko nyumbani mtu anakoishiWabongo wana roho mbaya sana makazini no wonder niliacha kazi sababu ya majungu nikaanzisha biashara zangu!View attachment 3456726
Kumbuka pia uhuru ukizidi ni UTUMWAHupaswi kuishi Kwa kuogopa kusemwa
Fanya vile unaona ni sahihi mkuu
Lakini huko ndo kunaongoza kuwa na maadui. Mtanzania anapenda sana kuona mwenzake anateseka. Na usiombe ukawa na kakipato kanene-nene utachukiwa hata na ndugu. Tuna roho mbaya sana majority of us!!! ndio sababu ya matajiri kuchukiwa!Ilitakiwa iwe na marafiki wengi zaidi kuliko nyumbani mtu anakoishi
Kuna unafiki mkubwa sana huko makazini majitu kusagiana kunguni hayaoni kazi...ukiyaangalia usoni utadhani jitu jema mcha Mungu kumbe lina roho MBAYA vibaya mno SHETANI akasome!!!Ni changamoto sana ni unafiki kwa wingi na mashindano.