naumwa wakuu!

Watu wasioaminiamini wenziwao mf. Wako Preta , ndiyo kuna siku utamwambia maiti anadeka ataka kubebwa tu!
Nway jamiif mgonjwa wetu nakutakia kila la kheri soon recovery.
Hivi unamaanisha Preta huyuhuyu, au umekosea ukimaanisha Perry!

Naamini kuwa kuna kosa hapo, vinginevyo hiyo siyo sifa ya Preta tumjuaye!
 
Last edited by a moderator:
Vp umekosa pesa ya kumwona Dr.? Ugua pole
 

Pole sana mkuu jamiif, natumaini umeanza antmalarial na antibiotics. mungu akujalie upone upesi ujumuike tena jukwaani
 
Last edited by a moderator:
Virusi vya maleria na virusi vya tonsils! Hakika utatangulia mbele za haki. Umeshaandika wosia?
 

pole sana Mungu wetu ni mwema atakuponya.
 
Hivi unamaanisha Preta huyuhuyu, au umekosea ukimaanisha Perry!

Naamini kuwa kuna kosa hapo, vinginevyo hiyo siyo sifa ya Preta tumjuaye!

Naam Kiongozi PakaJimmy asante kunisahihisha wajua nilikua naangalia match ya final kati ya Sofapaka Vs Gormahia mpira ulikua moto sana nami ikawa huku macho kuskrini huku jamvini that's y shem wangu Preta ukipita hapa niwie radhi !
Overlookin iliteki plesi .
Niliyo yacomment yanyooke kwa Perry !
 
Last edited by a moderator:
tumia zandu......kwisha mzizi wa fitina
 
Pole sana mwenzetu, kumbuka kutumia dawa na kufuata masharti.. Ni upepo tu, utapita.
 

Pole sana,unaendeleaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…