naumwa wakuu!

jamiif

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
2,413
Reaction score
995
habarini za leo ndugu zangu!
leo sijaamka vzr kabisa naumwa nina malaria na tonsils juu..hapa nasikia baridi sana na kichwa kinauma sana. Natamani kusoma posts za ndugu zangu humu ila nasoma kwa tabu. haya ndugu zangu kila la kheri ngoja niendele mdogomdogo. Tupo pamoja!!
 
Ugua pole mwaya, umemwona daktari lakini?malaria haikubaliki....
 
Pole sana,natumai umetumia dawa baada ya kuonana na daktari,Mungu atakusaidia utapona.
 
asante mkuu...siyo kudeka jamani, ni kushea nanyi ndugu zangu wakati kwa hitilafu km hizi...au kuna ubaya?
Watu kwa kudeka humu hawajambo!
 
Pole mwaya.....Wishing you quick recovery
 
pepo tokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!nyanyuka maana imani yako imekuponya
 

Pole kwa kupatwa na ugonjwa, zingatia maelezo ya utabibu utakuwa sawa tu...
 

Hizo tonsils itakuwa vema ukapata na kipimo kikubwa
 
Waahi kwa babu! Sasa hakuna foleni na kikombe kina nguvu maradufu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…