Naumizwa na mapenzi

Naumizwa na mapenzi

Wanajukwaa hope wote ni wazima kiafya na kimaendeleo

Mwenzenu naumizwa sana na mapenzi
Kuna mkaka alikuwa rafiki yangu tukiwa wadogo age ya primary tumekuja kupana kwa simu ukubwani tukatamaniana ghafla

Mapenzi yakawa matamu ila kwa sasa mwenzangu hayuko vile tena na mimi nampenda kumsahau nashindwa naishia kulia tu

Sasa ni four weeks maumivu yako pale pale

Natamani kama kungekuwa na dawa za maumivu ningekunywa
Utakua huna utamu aliyoukusudia.
 
SHIDA UNAPOTAMANIWA WE UNAPENDA!
sasa utapenda wangapi!?
RUKSA KUTAMANAI HATA MIA!
ILI HATA MKIFIKIA HUKU HULOOSE KITU!

SASA KILA MTU UNAMPENDA TU!
WATAKUUMIZA MPK SIKU UTAKAPOJIFUNZA KUWATAMANI,KUWAONJA NA KUWACHOKA!
Wewe ulijuaje kila mtu nampenda, inshort tulivyokuwa tuna-communicate
Wewe ulikuwepo? toa ushauri unaofaa sio kuwa judgmental
 
Kila mtu anachaguo lake so don't force kila mtu awe kama wewe
Chaguo lako linaweza lisiwe langu
SI UNAONA LAKINI MACHAGUA YAKO YANAVOKUZINGUA!
well my idea sio uchague kama mimi!
IDEA YANGU NI HIYO CRITERIA YAKO YA MWANAUME ANAYETAKIWA KUPENDWA NA WEWE NDO KITU CHA KWANZA KINACHOKUUMIZA SIO MAPENZI!

MAPENZI NI MATAMU SANA AISEE!
MNO!
BASI TU UKIINGIA CHAKA!NDO MATOKEAO YAKE YANAKUWAGA YA KIWEHU HIV!
 
Wewe ulijuaje kila mtu nampenda, inshort tulivyokuwa tuna-communicate
Wewe ulikuwepo? toa ushauri unaofaa sio kuwa judgmental
AM NOT!
nacheza na maneno yako tu honey!
BUT MARA MIA MI NAYEKWAMBIA REALITY A HII DUNIA ILIVYO!
hata kama nakukera!
ila MAISHA HAYATAKI KUWA NAIVE HIVO!

HAYA LAKINI!
 
SI UNAONA LAKINI MACHAGUA YAKO YANAVOKUZINGUA!
well my idea sio uchague kama mimi!
IDEA YANGU NI HIYO CRITERIA YAKO YA MWANAUME ANAYETAKIWA KUPENDWA NA WEWE NDO KITU CHA KWANZA KINACHOKUUMIZA SIO MAPENZI!

MAPENZI NI MATAMU SANA AISEE!
MNO!
BASI TU UKIINGIA CHAKA!NDO MATOKEAO YAKE YANAKUWAGA YA KIWEHU HIV!
Mwanzo wa mahusiano ulikuwepo kama?
Je ulijua ni mangapi tulipanga toa ushauri kutokana na mada
Maumivu yapo tu ndio maana dunia nzima kuna nyimbo nyingi za mapenzi kuhusu maumiviu so it's not just only me ni dunia nzima
 
DAH!
si umesimulia mwnyewe KUWA ILIKUWA KWENYE SIMU MKATAMANIANA?
ahahahahha we bana face your world!
HUYO KASEPA ,IINGIZE AKILINI ANGALIA MAISHA MENGINE!
hutaki endelea kujikunyata kulia lia!
 
Yes i will face my own world alone but don't give me advice in mocking way
 
Very true nilimpenda sana cause the guy ana sifa 3 kuu
1)brain imetulia
2)very romantic
3)very handsome
Ila kikubwa zaidi brain yake ana shule na kitaa
Hao ma handsome mtalia sana, pole. Hakupendi huyo achana nae, mwanaume akikupenda huwezi lia lia hapa. Huyo bado, si wako ndugu japo ngumu kumeza ila ndo hivo hakupendi
 
Wanajukwaa hope wote ni wazima kiafya na kimaendeleo

Mwenzenu naumizwa sana na mapenzi
Kuna mkaka alikuwa rafiki yangu tukiwa wadogo age ya primary tumekuja kupana kwa simu ukubwani tukatamaniana ghafla

Mapenzi yakawa matamu ila kwa sasa mwenzangu hayuko vile tena na mimi nampenda kumsahau nashindwa naishia kulia tu

Sasa ni four weeks maumivu yako pale pale

Natamani kama kungekuwa na dawa za maumivu ningekunywa
Kwani wewe upo wapi na yeye yupo wapi?
 
Acha kuendekeza ujinga!mapenzi yanaumiza vipi?kama sio ujinga?!mbona haufi?!
 
Unaumia kiakili, kimwili au kimiyo? ukishanijibu nitakupa mbinu sahihi ya kuepukana na maumivu hayo au bofya hapa ufate ushauri huu http://bit.ly/2uaQ4I6
 
Naona unahitaji mtu wa kukufariji karibu tuyajenge.
 
Ila kiukwer manaume ss ni mafisi sana, ukiona mwanaume amedumu na mpenzi wake muda mrefu bila hata kumsaliti ujue huyo ni shujaa na ameamua,

Mwanamke kama hujui kujiongeza utakimbiwa tu na kuachwa....wanaume ss haturidhiki, tunataka vingi sana....

Kwa situation yako mm ishawai nikuta....mapenz yalikua moto mwanzoni lkn badae nkaona najilazimisha tu na kujifanyisha nampenda siwezi, basi nkampotezea kama hivyo.

Kama ni ww tafadhali nisamehe sana.....cwezi kujilazimisha kwako zaidi.
Uwiiiiiii yaani nimekufa mbavu kwa usanii huu
 
Wanajukwaa hope wote ni wazima kiafya na kimaendeleo

Mwenzenu naumizwa sana na mapenzi
Kuna mkaka alikuwa rafiki yangu tukiwa wadogo age ya primary tumekuja kupana kwa simu ukubwani tukatamaniana ghafla

Mapenzi yakawa matamu ila kwa sasa mwenzangu hayuko vile tena na mimi nampenda kumsahau nashindwa naishia kulia tu

Sasa ni four weeks maumivu yako pale pale

Natamani kama kungekuwa na dawa za maumivu ningekunywa
MWANAUME MWENYE MALENGO NA WEWE UTAMTAMBUA KWA HAYA

Nimekuwekea hapa zisome Tabia za mwanaume mwenye malengo na wewe.

1. Anakupigia simu mara kwa mara na kukuuliza siku yako imeendaje. Anafanya hivi kirafiki na kwa upendo, haigizi. Anakupenda kweli.

2. Anakutembelea mara kwa mara, anakuwa karibu na wewe kipindi unaumwa, hii inamaanisha kwamba yupo tayari kukuvumilia katika shida na raha. Mpende mwanaume huyu.

3. Anawapenda ndugu zako kama ndugu zake. Anaongea nao vizuri na kusaidiana mambo ya hapa na pale. Mtizame kwa jicho la tatu huyu mwanaume!

4. Anaongea na wewe kwa adabu na kwa upole, anakukosoa bila wasiwasi kama kuna mambo unaenenda visivyo. Anakuelekeza njia zilizonyoka..sio wa kumuacha huyu!

5. Hakulazimishi kufanya mapenzi. Anakupenda sana kiasi kwamba hawezi kukulazimisha jambo ambalo hauko na hiari nalo. Yupo karibu na wewe wakati wote na sio tu anapokutaka kimapenzi, huyu ni bonge la bwana.

6. Anakusaidia fedha pale unapokua umekwama kabisa, yuko na jukumu la kukusaidia kiuchumi. Anapenda kukupa kile ambacho amejaaliwa nacho. Hana mkono wa birika, Huyu anakupenda!

7. Anazungumzia future yake na wewe, mipango ya baadae pamoja na wewe, huyu anayo dhamira ya dhati kutoka moyoni mwake ya kukufanya uwe mkewe.

Hizi ni moja ya dalili kwamba mwanaume wako anakupenda na anataka atengeneze future pamoja na wewe. Usikate tamaa juu ya mwanaume wa aina hii.

Hao wenye sixpack sijui eight pack, wabeba vyuma, wavaa milegezo, wanyonya midomo na mahandsome wavaa hereni, waume za watu, masupa staa, watoto wa vigogo, hawatakusaidia lolote, utabaki ukiumizwa tu moyo wako.

Kabla hujajipendekeza kwa wanaume wa aina hiyo, jiulize wanawake wanzako wangapi wameshajipendekeza kwa sababu ya hzo pesa zake, hivyo na wewe unajiongeza kwenye foleni!

Mvumilie mwanaume wako, anazo ndoto njema, mapenzi ya kweli ni vigumu sana kuyapata. Ila pesa na mali ni rahisi sana kuzipata kama utajibidiisha.

Usipende mitelemko, mitelemko mingine ni njia ziletazo mauti! - Ukishikwa shikamana, ukipendwa, pendeka!

Mwisho ndoa ni muhimu na Uzingatie mipaka ya Dini yako usijekuingia kwenye makosa.
 
Ila kiukwer manaume ss ni mafisi sana, ukiona mwanaume amedumu na mpenzi wake muda mrefu bila hata kumsaliti ujue huyo ni shujaa na ameamua,

Mwanamke kama hujui kujiongeza utakimbiwa tu na kuachwa....wanaume ss haturidhiki, tunataka vingi sana....

Kwa situation yako mm ishawai nikuta....mapenz yalikua moto mwanzoni lkn badae nkaona najilazimisha tu na kujifanyisha nampenda siwezi, basi nkampotezea kama hivyo.

Kama ni ww tafadhali nisamehe sana.....cwezi kujilazimisha kwako zaidi.
Yaani asante kwa kunichekesha cause nimecheka kwa sauti nahisi mpaka neighbours wamenisikia si kwa usanii huo uwiiiiiiiiiiiiiiiii nakufa kwa kucheka
 
Kama uko dar hemu ni pm tupeane no yaan i am sure 100% utamsahau huyo ndani ya week cause i real want to help h
 
MWANAUME MWENYE MALENGO NA WEWE UTAMTAMBUA KWA HAYA

Nimekuwekea hapa zisome Tabia za mwanaume mwenye malengo na wewe.

1. Anakupigia simu mara kwa mara na kukuuliza siku yako imeendaje. Anafanya hivi kirafiki na kwa upendo, haigizi. Anakupenda kweli.

2. Anakutembelea mara kwa mara, anakuwa karibu na wewe kipindi unaumwa, hii inamaanisha kwamba yupo tayari kukuvumilia katika shida na raha. Mpende mwanaume huyu.

3. Anawapenda ndugu zako kama ndugu zake. Anaongea nao vizuri na kusaidiana mambo ya hapa na pale. Mtizame kwa jicho la tatu huyu mwanaume!

4. Anaongea na wewe kwa adabu na kwa upole, anakukosoa bila wasiwasi kama kuna mambo unaenenda visivyo. Anakuelekeza njia zilizonyoka..sio wa kumuacha huyu!

5. Hakulazimishi kufanya mapenzi. Anakupenda sana kiasi kwamba hawezi kukulazimisha jambo ambalo hauko na hiari nalo. Yupo karibu na wewe wakati wote na sio tu anapokutaka kimapenzi, huyu ni bonge la bwana.

6. Anakusaidia fedha pale unapokua umekwama kabisa, yuko na jukumu la kukusaidia kiuchumi. Anapenda kukupa kile ambacho amejaaliwa nacho. Hana mkono wa birika, Huyu anakupenda!

7. Anazungumzia future yake na wewe, mipango ya baadae pamoja na wewe, huyu anayo dhamira ya dhati kutoka moyoni mwake ya kukufanya uwe mkewe.

Hizi ni moja ya dalili kwamba mwanaume wako anakupenda na anataka atengeneze future pamoja na wewe. Usikate tamaa juu ya mwanaume wa aina hii.

Hao wenye sixpack sijui eight pack, wabeba vyuma, wavaa milegezo, wanyonya midomo na mahandsome wavaa hereni, waume za watu, masupa staa, watoto wa vigogo, hawatakusaidia lolote, utabaki ukiumizwa tu moyo wako.

Kabla hujajipendekeza kwa wanaume wa aina hiyo, jiulize wanawake wanzako wangapi wameshajipendekeza kwa sababu ya hzo pesa zake, hivyo na wewe unajiongeza kwenye foleni!

Mvumilie mwanaume wako, anazo ndoto njema, mapenzi ya kweli ni vigumu sana kuyapata. Ila pesa na mali ni rahisi sana kuzipata kama utajibidiisha.

Usipende mitelemko, mitelemko mingine ni njia ziletazo mauti! - Ukishikwa shikamana, ukipendwa, pendeka!

Mwisho ndoa ni muhimu na Uzingatie mipaka ya Dini yako usijekuingia kwenye makosa.
Ubarikiwe my ndugu
 
Back
Top Bottom