ThanksUsiwaze sana ukipata mda wa kupumzika wa pumzka na ukipata mda wa kufanya kazi Fanya kazi
Kuumizwa ktk Mapenzi ni moja wa sifa ya kuwa ktk mahusiano na ni ukubwa pia
una umri gani??Maana isije ukawa upo under 20 ndiyo tuanze kubishana hapasidhan! sio wote lazima waumizwe😳
una umri gani??Maana isije ukawa upo under 20 ndiyo tuanze kubishana hapa
Wanajukwaa hope wote ni wazima kiafya na kimaendeleo
Mwenzenu naumizwa sana na mapenzi
Kuna mkaka alikuwa rafiki yangu tukiwa wadogo age ya primary tumekuja kupana kwa simu ukubwani tukatamaniana ghafla
Mapenzi yakawa matamu ila kwa sasa mwenzangu hayuko vile tena na mimi nampenda kumsahau nashindwa naishia kulia tu
Sasa ni four weeks maumivu yako pale pale
Natamani kama kungekuwa na dawa za maumivu ningekunywa
39una umri gani??Maana isije ukawa upo under 20 ndiyo tuanze kubishana hapa
Ww ni mwalimu?
Humu mitandaoni kupitia fake ID unaweza kusema lolote lakini nafsi inakusuta kwa,kujinasibu usitendwe wewe ni nani labda???Kipi cha tofauti unacho??Vitu vingine sio vya kuviongeahahahahahha nacheka km mazuri! mie najua anaeumizwa ni yule anaeachwa akiwa bado anampenda mhusika sasa kuna vichwa vingine hatujawah achwa tunaacha! sasa hao utawaweka km wamewah umizwa na mapenzi! mie choz la kwanza nililia nilipoingia kwemye ndoa mkuu!(sitarajii tena kulia)nyuma sikumbuki kuwah kulia kisa men aic! SIJUI LAKINI LABDA NILIWAH LIA!(kisa nimeumizwa)
Huo umr sio wa kulilia mapenz mpotezee fanya mambo mengne ni ngumu ila tia nia inawezekana
No! kwanini umeniuzila kama mimi ni teacher?Ww ni mwalimu?
Thank you very muchHumu mitandaoni kupitia fake ID unaweza kusema lolote lakini nafsi inakusuta kwa,kujinasibu usitendwe wewe ni nani labda???Kipi cha tofauti unacho??Vitu vingine sio vya kuviongea
SABABU ZAKO ZA KUPENDA MWANAUME ZA KITOTO SANA!Very true nilimpenda sana cause the guy ana sifa 3 kuu
1)brain imetulia
2)very romantic
3)very handsome
Ila kikubwa zaidi brain yake ana shule na kitaa
SIKILIZA!Nitajijuaje kama kuna tatizo angesema then ningejirekebisha
Kila mtu anachaguo lake so don't force kila mtu awe kama weweSABABU ZAKO ZA KUPENDA MWANAUME ZA KITOTO SANA!
well pengine mimi ndo NIMEZEEKA!