Naulizia shule bora za wasichana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naulizia shule bora za wasichana

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Irene Joshua Ndossy, Apr 2, 2012.

 1. I

  Irene Joshua Ndossy New Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu naomba msaada kwa yeyote ambaye anajua shule bora za wasichana mkoa wa Kilimanjaro na Arusha,,Seminaries will much be appreciated..
   
 2. JAPUONY

  JAPUONY JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 374
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ungetueleza unatumia vigezo gani kujua shule bora halafu tukutajie. Je, unatumia kigezo cha Uwepo wa Walimu wazuri, Majengo mazuri, Vifaa vya kufunzia, ufaulu wa wanafunzi, uwepo kando ya Mlima Kilimanjaro au UBORA kwa kigezo kipi?Funguka tafadhali, watanzania bado hamjui hata kuuliza maswali jamani!!!!!!!
   
 3. L

  Liame Senior Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kidato gani mwanao anasoma?
   
 4. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  swali gumu rudia plz, usiwe kama mwanaasha bana.
   
 5. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,939
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Kwani hiyo aliyotoka ubora wake ukoje?
   
 6. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,931
  Trophy Points: 280
  Shuleni kwa kina Mwana-asha!
   
 7. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #7
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Marie Gorieth wako vizuri iko Moshi!
   
 8. Bill of Quantity

  Bill of Quantity JF-Expert Member

  #8
  Jan 9, 2015
  Joined: Dec 2, 2014
  Messages: 1,250
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  nasubiri majibu..
   
 9. Hayuu

  Hayuu Senior Member

  #9
  Jan 9, 2015
  Joined: Jun 1, 2014
  Messages: 140
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Anurite pia ni ya ma sister ipo vizuri
   
Loading...