figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Mkuu Feis buku umeshindwa na Swali langu wataka kunipa mji? Haya nipe mji nitakujibu hilo swali langunikupe mji mkuu!!
Nichagulieni mji nitawajibuni hilo Swali langu hahahahahh mpaka sasa sijapata jibu kamili jina lako au jina langu lipo Sehemu gani katika mwili wangu au mwili wako?Mmmh let say liko kwenye jinsia. Sasa jina kama mzizi mkavu. Ina maana jinsia zimekauka au? Mmmmmh chagua mji
Bado mpaka sasa sijapata jibu lililo Sahihi Kuhus jina lako au jina langu lipo sehemu gani katika mwili wako au mwili wangu?
Nangojea Watu kama kumi waseme kama unavyosema wewe ndio nitatoa jibu la chemsha bongo yangu kuu.Hapa mkuu inabidi utupe jibu tu, maana hakuna mtu aliye na jibu.
Mie ndo hata sielewi
Mkuu Feis buku umeshindwa na Swali langu wataka kunipa mji? Haya nipe mji nitakujibu hilo swali langu[/QUOTEOK! NENDA NJUMBANI KWA AKINA BEBII OYSTARBAY
mimi jibu ninalijua ila nilitaka kujuwa kama mnajuwa nyinyi jina lako au majina yenu yapo kwenye Sehemu gani kataka mwili wako? Mtakaposhindwa ndipo mimi nitakapo wajibuni asante.
Who is BEBII OYSTARBAY?Mkuu Feis buku umeshindwa na Swali langu wataka kunipa mji? Haya nipe mji nitakujibu hilo swali langu[/QUOTEOK! NENDA NJUMBANI KWA AKINA BEBII OYSTARBAY
Mimi nimeweka chemsha bongo nataka watu wenye akili zao wanijibu wewe kama umeshindwa niambie na pia nataka watu kama kumi waseme tumeshindwa ndio nitatoa jibu langu ......Sasa kama jibu unalo kwa nini usituwekee ili tuseme "kweli" au "si kweli" ?
Umekosa kulijibu swali langu jina lako haliko kwenye hiyo sehemu ya panchonyo yako.Bado Naulkiza jina lako lipo wapi katika sehemu ya mwili wako?Lipo kwenye panchonyo yangu.