kuna jamaa alimuita mwenzie bikra ukazuka ugomvi mkubwa sana.
Ha ha ha haaah!! Ngumu kukubali aisee.....mkuu wewe uitwe bikra utakubali? hahahahahaha
Waalim watasaidia hapa.
Neno bikra means untouched.
Nimejaribu kutafakari iwapo mtu akikuamba...
Eti kaka, naskia unaguswa wewe!?