GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,292
- 6,773
Yaani mambo mengine yanashangaza sana, Nimeshtuka baada ya kusikia kuwa Tani 30 za bangi zinafikia shilingi bilioni 122, tena wauzaji hulipwa Taslimu 'cash' si hivyo tu meli inaweza kutoka Tanzania na kupita nchi kadhaa bila kukamatwa mpaka mzigo unafika, itokee tu bahati mbaya kama ilivyotokea
Sasa kivumbi ni huku kwenye korosho, mwaka huu hizo tani 30 itakuwa ni sawa na shilingi mil 30 tena haitakuwa cash utalipwa kidogo kidogo kwa awamu3 au 4 sasa piga hesabu gharama za dawa na vibarua, mpaka mwisho utajikuta umebakiwa na milioni 10 tu.
si hivyo tu ni ngumu sana kuvusha Gunia la korosho kutoka kijiji kimoja kwenda kijiji kingine kabla hujakamatwa, maana mle kwenye vizuizi kuna askari ambao hukagua kama umebeba korosho au la!
Lakini ni rahisi sana kuvusha bangi kwenda kokote unakotaka bora usiwe msimu wa korosho kwani utapekuliwa kwa kuhisiwa umebeba korosho hatimaye bangi itaonekana Kwa mateso kama haya kwanini uslime bangi ambayo ina faida kubwa kuliko
korosho?
SI MIMI NI WAKULIMA NDIO WANAOULIZA, MIMI MUNGU WANGU ANAKATAZA BANGI KAMA SI HIVYO NINGELIMA TU!