Nauliza tu jamani!!

images
najdyh-najd-al7oob67.gif
 
Napenda kufahamu tatizo linakuwa wapi??

Mnakuwa na mahusiano na mtu mwanamke/mwanaume kabla haMjado ze nidifuli aahhh sms, simu, email nk kwa sana tu lakini mkisha du uwiii mambo yanabadilika hivi ni kwanini?? Hata ile Sweet, My Love, Darling, Dear nk zinakwisha KULIKONI JAMANI???

Si tayari amepata alicho kuwa akipata na usiombee kama mechi ilicheza chini ya kiwango
 
Dena hiyo ni kawaida tu wala isikuumize kichwa mwenzangu, hawa ndio walivyo zile sms zilikuwa zinasukumwa zaidi na nye...
 
Mnakuwa na mahusiano na mtu mwanamke/mwanaume kabla haMjado ze nidifuli aahhh sms, simu, email nk kwa sana tu lakini mkisha du uwiii mambo yanabadilika hivi ni kwanini?? Hata ile Sweet, My Love, Darling, Dear nk zinakwisha KULIKONI JAMANI???

At that time the game is over.......................................and boring.................what do you expect........................That person is not into you..................................................better now than 2morrow when too much emotional investment has been expended..................
 
Tafsiri tafadhali Ruta wengine sie kidhungu hakipandi wajameni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom