Kila kitu?unamaanisha hata yale ya kinyume na maumbile??? what does kila kitu means?
Napenda kufahamu tatizo linakuwa wapi??
Mnakuwa na mahusiano na mtu mwanamke/mwanaume kabla haMjado ze nidifuli aahhh sms, simu, email nk kwa sana tu lakini mkisha du uwiii mambo yanabadilika hivi ni kwanini?? Hata ile Sweet, My Love, Darling, Dear nk zinakwisha KULIKONI JAMANI???
Ndio ukweli wenyewe
Kuna mdau amepata kusema hapa kuwa:"Samaki aliyeko majini ndio anapewa chambo, aliyevuliwa tayari haihitajiki."
kila kitu?unamaanisha hata yale ya kinyume na maumbile??? What does kila kitu means?
KIFUPI NIKWAMBA MAWASILIANO YA MWANZO YALIKUWA YAKUKUWEKA KARIBU SASA UPO KARIBU MAWASILIANO YA NINI YA MARA KWA MARA??
Hapa mawsiliano nipale kunakitu cha msingi ndo tunawasiliana lakini kama mwanzo hakuna tena haja hiyo zoezi lilishafanyika ndiyo Kampeni ya mapenzi uchaguzi ukishafanyika basi tukoju naushindi lazima kampeni tusitishe!
Nipo nakusikiliza.Kuna ka ukweli vileeee
Mimi nilikuwa napiga sana lakini yeye kapunguza asilimia 90 yaani akipiga ujue anakuuliza swali au ana shida fulani vinginevyo siku inaisha hata simu hakuna
Dah umenifumbua macho aisee
Mwanzoni ni kampeni yakila aina kinafata uchaguzi ukisha chagua inamaana umemkubali kuwa mpenzi wako!kinachofatia ni nikuakikisha kampeni zote zinasitishwa na mimi kama mteule nikufatilia majukumu mengine,mfano nipe laki2,nadaiwa,Kama kodi imeisha,mara nimeona nguo nzuri botique fulani,vitu vinavyo fanana nahivyo na wewe sasa nikuakikisha umkeri kwa simu mara uko wapi nataka kuja haaaa ataboreka kinachotakiwa nikumjulia hali nakumwambia nimekumiss!Yeye atakwambia basi njoo mahali fulani tukutane kweli kama umenimiss!
dahh umenifumbua hasa hilo la uko wapi ndo swali langu la kwanza kabla ya yote nitafata ushauri wako
Kuna ka ukweli vileeee