Bashir Yakub
Member
- May 27, 2013
- 97
- 1,752
ZITTO UTAACHA LINI UKORA ??.
Waraka wa BASHIR YAKUB.
+255784482959.
Sio mara ya kwanza Zitto kuzusha kuhusu ununuzi wa ndege Boieng dreamliner 787-800 ambayo itatua nchini mda si mrefu. Nafurahi safari hii amejibiwa vizuri na kwa utaalam wa hali ya juu na mhe. Diallo ambaye aliwahi kumiliki ndege za Community airline.
Taarifa kuhusu ununuzi wa ndege hiyo zilishatolewa ufafanuzi wa kina kama ifuatavyo :-
KUHUSU GHARAMA ZA NDEGE HIYO.
Zitto anasema tumepigwa kwa kuuziwa ndege chakavu kwa dola za marekani milioni 224.6( zaidi ya bilioni 450 za Tanzania) .
Ukweli ni kuwa, mkataba wa boieng na serikali unaonesha ndege imenunuliwa dola za kimarekani milioni 150( zaidi ya bilioni 330). Mkataba huu upo na baadhi ya wabunge wameuona akiwemo Zitto Kabwe. Nayo tovuti ya Boieng imewahi kuonesha bei hii. Kadhalika taarifa rasmi iliyotolewa bungeni Mei 2017 na Waziri wa Uchukuzi Prof. Mbarawa iilisema hivyo.
KUHUSU NDEGE KUWA CHAKAVU.
Zitto anasema tumeuziwa ndege chakavu zenye matatizo ya kiufundi "terrible teen".
Ukweli unasemwa na Morris Keelan afisa mwandamizi kutoka Boieng kuwa : -
- Boieng ya Tanzania imeanza kuunganishwa " assembling" rasmi 2018 na kuwa kabla ya hapo hakukuwa na ndege ya aina hiyo.
- Ndege iliyonunuliwa na Tanzania ni Boieng Line No.719, serial No. 64249 wakati inayosemwa na Zitto "terrible teen" ni Boieng line No. 19.
- Specifications za uwezo wa kubeba mzigo, ndege iliyonunuliwa na Tanzania ina uwezo wa kubeba tani 13.3, wakati "terrible teen" inayosemwa na Zitto ina uwezo wa kubeba tani 5.8.
- Ndege iliyonunuliwa na Tanzania ina uwezo wa kuruka Neutical miles 6900 ambapo ni kama kutoka hapa na Guangzhou China, wakati "terrible teen" ya Zitto uwezo wake ni 5900 Neutical miles.
- Morris anasema hata muonekana wa ndani(cabin configuration) wa ndege ya Tanzania ni tofauti na hiyo ndege mbovu inayosemwa kwakuwa muonekano huo umechaguliwa na Tanzania yenyewe.
KUHUSU MAAMUZI YA UNUNUZI KUFANYWA NA RAIS NA KATIBU MKUU HAZINA PEKEE.
Zitto anasema maamuzi ya kununua ndege yalifanywa na rais kwa kumshirikisha katibu mkuu hazina pekee na hapakuwa na Government negotiation.
Huu ni uzushi mwingine kutoka kwa mzushi yuleyule. Ukweli ni kuwa majadiliano ya ununuzi wa ndege yalifanywa kwa mda mrefu .
Majadiliano yaliongozwa na ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali na kuhusisha wakala wa ndege za serikali,wizara ya ujenzi uchukuzi na mawasiliano,kampuni ya ndege Tanzania(ATCL), na mamlaka ya usafiri wa anga(TCAA).
Baraka zote zilitoka katika mamlaka hizi na kumshauri rais. Zitto aache kuwa mfitini.
KUHUSU KUWA NDEGE ILIUNDWA TANGU 2009.
Zitto anasema ndege tuliyonunua imeundwa yangu 2009.
Morris anasema Line number na Serial number ndio hutambulisha ndege imeundwa lini. Anasema serial no 64249 na line no 719 ni za mwaka 2018 na haziwezi kupatikana mwaka mwingine wowote na katu huwezi kuzibadilisha. Anasema anayetaka aingie tovuti ya Boieng aangalie mfuatano wa namba unavyokwenda sambamba na utengenazaji wa ndege.
Kwa ufupi Zitto anatafuta kusurvive kisiasa. Yuko tayari hata kusema tulidanganywa hii nchi haiitwi Tanzania bali jina lake halisi lilifichwa. Ni mtu ambaye sasa hajali anasema nini ilimradi anachosema kitawakumbusha watu kuwa yuko mtu anaitwa Zitto.
Analazamisha mtafuruku na dola ili aendelee kushika headlines . Mungu atulinde na watu wa aina hii .